Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ππππππππ Wanatuchukulia poa sana hawa.
Leo watakimbiana hapa
Aaah mnajua mshafanya yenu sio?Sio hapa
Mpira unapigwa.Aaah mnajua mshafanya yenu sio?
leo nawasapoti mtani π π π πNaona umeamua kuvumilia maumivu makali
Leo inabidi mshinde mkuu hakuna namnaBraza unawakosea Tabora sana
SawaTunawapiga kama ngoma
π π π π π huyo mtani wangu mkuuAha! ushaanza kumtaka Kalpana wewe sio bure kwa kweli
Mkuu! Aliyeedit uzi kwenye post namba 1Mzamiru...ayaaa
ndio kaka leo nipo upande wake π π π π π πUnashangilia timu yake leo. π€£