Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
tena wafungwe nane!Lolote baya liwapate makolo
#Povuruksa
volcano lazma iwalipukie hakuna namnaHawa big men wanaweza kushangaza ulimwengu leo. Yaani Simba ina mechi muhimu halafu inakubali kufanya kikao na Uto siku na muda huo huo? Tusubiri tuone.
Volcano ikitumika leo ni matumizi mabaya ya volcano. Hizi ni mechi za kucheza kina Omary na Kazi.volcano lazma iwalipukie hakuna namna
Kwani wachezaji ndio wanafanya kikao?Hawa big men wanaweza kushangaza ulimwengu leo. Yaani Simba ina mechi muhimu halafu inakubali kufanya kikao na Uto siku na muda huo huo? Tusubiri tuone.
Ahahaha sawa kumbe wiki ijano tuna al-masry, ila tutampa hata dakika 20 tukiona tunazidiwaVolcano ikitumika leo ni matumizi mabaya ya volcano. Hizi ni mechi za kucheza kina Omary na Kazi.
Wanafanya kikao lini.mkuuHawa big men wanaweza kushangaza ulimwengu leo. Yaani Simba ina mechi muhimu halafu inakubali kufanya kikao na Uto siku na muda huo huo? Tusubiri tuone.
Tawire mama! Tawire.Lolote baya liwapate makolo
#Povuruksa
Iliakamsimulie little boyBigman leo atapata kipigo cha mbwa mwizi ili akawasimulie wenzie
Lolote baya liwapate makolo
#Povuruksa
iwe jua iwe mvua boli litatembea tu👿Na hii nvua sasa itakuwaje jameni?.
nyuma mwiko na mdogo wake kule singida juzi walikatisha sababu ya mvua au walizidiwa baada ya kuzawazisha goli wakaona inatoshaiwe jua iwe mvua boli litatembea tu👿