The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Yaan tutoke na Big man 2-1 😜Mara swaa dakika za jioni 2-2 kisha penati hazina mwenyewe
Yaan tutoke na Big man 2-1 😜Mara swaa dakika za jioni 2-2 kisha penati hazina mwenyewe
Ngoja tuone hizi sub tatu litaleta nini kwa Simba maana kwa ule utoto uliyokuwa unafanywa kule mbele ni ngumu kupatikana goli la tatuYaan tutoke na Big man 2-1 [emoji12]
Kwanini tutumie nguvu kubwa kwa ajili ya timu ndogo ? Tuna press kidogo tu mzee. Tuna ishu siriaz ya kombe la shirikisho afrikaPerformance mbovu sana leo. Sijui hawa wachezaji jana walilala wapi.
Full time 2:1Yaan tutoke na Big man 2-1 [emoji12]
Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big
Man FC![]()
Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Big Man FC
12' Milango bado migumu kwa kila timu
15' Goooooal (Joshua Mutale)
23' Simba wanalitafuta goli lingine kutanua wigo wa uongozi
29' Mpanzu amewekwa chini ndani ya box na simba wanapata mkwaju wa penati
30' Gooooal (Ateba)
37' Mechi inaendelea
40' Mpanzu anatoka, Chasambi anaingia
45' Gooal (Big Man FC)
Mapumziko: Simba SC 2-1 Big Man FC
Kipindi cha pili kimeanza
46' Mechi imeanza kwa kasi
65' Timu zote zimefanya mabadiliko ya wachezaji kadhaa
FT: Simba SC 2-1 Big Man FC
Kwani Simba wasiwahurumie big man wakati Morocco waliwahurumia stars kutowafunga magoli mengiPerformance mbovu sana leo. Sijui hawa wachezaji jana walilala wapi.