Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
VIPI HUKO UWANJANI?
Hatuchezi! Na Hersi akitusaliti hatumchagui tena. Alisikika mlevi mmoja huko mitaa ya kidimbwini FC!Lolote baya liwapate makolo
#Povuruksa
Pale wamenyongwa sema ndio hivyo waamuzi nao ni binadamuBigMan amenyimwa goli. Sio offside ile
Kila Kibu akiwa nje ya nchi Mutale anawaka 🔥🔥🔥Mechi za Mutale hizo. Anapiga visigizo na V za kutosha
Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC
Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Big Man FC
12' Milango bado migumu kwa kila timu
15' Goooooal (Joshua Mutale)
23' Simba wanalitafuta goli lingine kutanua wigo wa uongozi
29' Mpanzu amewekwa chini ndani ya box na simba wanapata mkwaju wa penati
30' Gooooal (Ateba)
37' Mechi inaendelea
40' Mpanzu anatoka, Chasambi anaingia
45' Gooal (Big Man FC)
Mapumziko: Simba SC 2-1 Big Man FC
Mutale anang'aa akikutana na wapinzani wa daraja la chini ila akikutana na wapinzani wa ligi kuu kila mtu shahidi kwa uwezo wake kuwa chiniSio poa , Yaani mmemkatia tamaa Mutale kiwango hiki? mnanikumbusha jinsi mlivyomkatia tamaa Kibu...!
Kwa sasa Kibu amekuwa jiwe kuu La Pembeni.
Mutale ni dhahabu , ila ni nani wa kuiona kwa jicho hilo....!
Utopolo kwa saikolojia hii wameshinda kwa kumtia moyo Dube na sasa dube anajikongoja.!
sema wale walio kupiga mara 4,ya tano ukakimbiaWamevaa njano kama wale wa matopeni
OkSimba anavyocheza hii mechi anapigwa
kibu katangulia egypt kukagua uwanja kama una mabaunsa wa kuwazuia ushindi uhakika huko kwa arabs sina waswasiNashukru huku niliko umeme umekatwa.
Timu inachocheza hakieleweki japo tunaongoza 2 kwa 1.
Heri muda huu niutumie kusoma makala za Erythrocyte dhidi ya Pascal Mayalla .
Huko Egypt kazi tunayo
Msikiliza walevi lazima atokee mbumbumbu FCHatuchezi! Na Hersi akitusaliti hatumchagui tena. Alisikika mlevi mmoja huko mitaa ya kidimbwini FC!