FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

Sio poa , Yaani mmemkatia tamaa Mutale kiwango hiki? mnanikumbusha jinsi mlivyomkatia tamaa Kibu...!
Kwa sasa Kibu amekuwa jiwe kuu La Pembeni.
Mutale ni dhahabu , ila ni nani wa kuiona kwa jicho hilo....!

Utopolo kwa saikolojia hii wameshinda kwa kumtia moyo Dube na sasa dube anajikongoja.!
 

Ukianzisha uzi ni Muhimu kuleta 'mirejeomipya' updates..
 
Mutale anang'aa akikutana na wapinzani wa daraja la chini ila akikutana na wapinzani wa ligi kuu kila mtu shahidi kwa uwezo wake kuwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…