FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

Naelewa umuhimu wa Backline ya Simba kwenye mashambulizi.Kapombe Zimbwe ,Hamza na Che malone
 
 
Ushindi ni ushindi. Simba wanasafiri usiku wa leo.. wamecheza kwa tahadhari kubwa sana. Ni kama walikuwa wananyoosha misuli kujiandaa na mechi kimataifa ya j4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…