FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

Ndio mtaona faida ya kufanya SAJILI za kihuni.

UNAMUACHA John Noble Unaenda KUhangaika na Akina AYOUB MDAKA panzi.

ALLY SALUM NI PAZIA LILE

Mnaendekeza USHABIKI WA Simba na yanga kuliko kupenda Mpira.
Huwezi kuweka kando ushabiki wa Simba na Yanga kwny mpira...huo ni uongooooo...hata msemeje
 
Ila Ally amezidi hana clean sheet hata moja
Kwa hiyo na wewe unataka Ally akae bench kwenye Derby ?

Za ndani kabisa zinasema hivi Ally Salim akikaa bench siku ya Derby Uto watajipigia bao za kutosha, Ayubu ama Manula watatunguliwa mapema, Uto wanajua Ally ni kikwazo kikubwa kwao . Kwa sasa wapo katika kampeni ya kutaka Ally aonekane mbovu asipangwe tare 5.

Be careful mama usimponde Ally na kuwapa faida Uto Nov 5
 
Ali kacheza kariakoo derby 2 bila kuruhusu goli msisahau
 
Point zinalingana na tuna kunyandua tarehe 05 tuwe na tatu juu yako afu bado tuna mechi mkononi haijachezwa. 😁😁😁
Sawa ila usije ukaanzwa wewe ngoja nisevu hii olewako tarehe 5 ukimbie humu ndani
 
Back
Top Bottom