Ila Ally amezidi hana clean sheet hata mojaALLY SALUM SIO KIPA.
AYOUB MDAKA PANZI
Huwezi kuweka kando ushabiki wa Simba na Yanga kwny mpira...huo ni uongooooo...hata msemejeNdio mtaona faida ya kufanya SAJILI za kihuni.
UNAMUACHA John Noble Unaenda KUhangaika na Akina AYOUB MDAKA panzi.
ALLY SALUM NI PAZIA LILE
Mnaendekeza USHABIKI WA Simba na yanga kuliko kupenda Mpira.
π€£π€£π€£π€£π€£Ila Ally amezidi hana clean sheet hata moja
Yes ndio hawa hawa mama.Hawa Ihefu si ndiyo waliwafunga Yanga?
Mlitaka asinune wakati mmempigia mme wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna timu inaendelea kununa pamoja na kuwalipia kisasi.
Kwa hiyo na wewe unataka Ally akae bench kwenye Derby ?Ila Ally amezidi hana clean sheet hata moja
Ali kacheza kariakoo derby 2 bila kuruhusu goli msisahauKwa hiyo na wewe unataka Ally akae bench kwenye Derby ?
Za ndani kabisa zinasema hivi Ally Salim akikaa bench siku ya Derby Uto watajipigia bao za kutosha, Ayubu ama Manula watatunguliwa mapema, Uto wanajua Ally ni kikwazo kikubwa kwao . Kwa sasa wapo katika kampeni ya kutaka Ally aonekane mbovu asipangwe tare 5.
Be careful mama usimponde Ally na kuwapa faida Uto Nov 5
Upi[emoji1787][emoji1787]
Na Uto wametunza hizo kumbukumbu za mechi 2 walizoshindwa, hasa ile ya Mkwakwani alipopangua matuta yao waliumia mno.Ali kacheza kariakoo derby 2 bila kuruhusu goli msisahau
Tena zimebaki dakika 10
Ndio maana nimesikia utopolo wanataka achezeshe derbyHeeeee..... nangalia marudio hapa, Kumbe kuna Penati Simba Walinyimwa na Mchezaji wa IHEFU aliunawa Kabisa mpira ndani ya 18..!
Marefa Wamulikwe
Eee ndo hawa hawaπππHawa Ihefu si ndiyo waliwafunga Yanga?
Point zinalingana na tuna kunyandua tarehe 05 tuwe na tatu juu yako afu bado tuna mechi mkononi haijachezwa. πππWeka sasa
Sawa ila usije ukaanzwa wewe ngoja nisevu hii olewako tarehe 5 ukimbie humu ndaniPoint zinalingana na tuna kunyandua tarehe 05 tuwe na tatu juu yako afu bado tuna mechi mkononi haijachezwa. πππ