Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwa hiyo Robertinho anakosea kumuweka benchi huyo jamaa?Huyu phiri tukubali tu si wakukaa benchi kwa namna yoyote ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Robertinho anakosea kumuweka benchi huyo jamaa?Huyu phiri tukubali tu si wakukaa benchi kwa namna yoyote ile.
Tunacheza mpira kwenye Tv.Wabongo ni shida.tunajua kila kitu.Mm shabiki la Yanga ila amin mashabiki wengi wa mpira bongo hata cha ndimu hawajacheza...! Hua wanaamin mpira ni rahis saaaaaaaaana sema ikimpendeza Jah mfee tu
Changanya na game kama Fifa,Pes basi raia wanaona mpira rahis saana....
Kocha anataka goli mbili. Yaani wakishafunga mpira unapoa kama vile umeshinda tano.Simba yangu kwakweli why siku hiz mkifunga mnajiachia???
Aaaah sawa ni objectivessss
Hatujazoea ss yetu magoli 4 hadi 7 kwa mkupuoKocha anataka goli mbili. Yaani wakishafunga mpira unapoa kama vile umeshinda tano.
Upuuzi mtupu
Wanajiona ni makocha na wachambuzi ndio maana wanawatukana hata makocha wenye taaluma zao.
Wasipokaa kileleni hawakosi maneno...Hiki Kitendo cha Phiri Kufunga Kinawauma Sana Utopolo...!
Hapa Wanamtafutia Zengwe ama Refa ,ama mshika Kibendera ili tu...Waseme Kapendelea..!
Una mbambamba nyingi sana we mwana UTOPWINKO..Lolote baya limkute mbumbumbu.