FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Tuko site...
Leo 🦁 anaungurumaa
 
Azam max leo haifanyi kazi au internet yangu tu ndio shida?
 
Leo ndo tunaangalia burudani sasa,
... maana Mechi ya jana ya Yanga ilikuwa ni zaidi ya maigizo yani haiwezekani Wachezaji wa Yanga wanakimbilia Golini kwa pamba wakafunge alafu wachezaji wa Pamba wanawafata huku wanatembea.

Pale ndo nikaelewa kwann yule Gabachori huwa anasema tu Yanga bingwa.
Sawa, tunashukuru tumeona goli la bahasha hapa.
 
Back
Top Bottom