FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Sas Uto wameshindwa kupiga jana sita jamaani golikip alikua anaawachia tuu mwaaa
Ata nyie leo mtaachiwa tuuu...mtajichagulia mue de kawaida au muwa pdaddy coastal union 🤣🤣🤣🤣
 
MBWEHA LEO Anatafunwa
Screenshot_20241003-124036_Chrome.jpg
 
Hii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!

Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
Unjisumbua ndugu,hai ni watoto wa makolo utajiones viroja WAKATI wa gemu.
 
Leo ndo tunaangalia burudani sasa,
... maana Mechi ya jana ya Yanga ilikuwa ni zaidi ya maigizo yani haiwezekani Wachezaji wa Yanga wanakimbilia Golini kwa pamba wakafunge alafu wachezaji wa Pamba wanawafata huku wanatembea.

Pale ndo nikaelewa kwann yule Gabachori huwa anasema tu Yanga bingwa.
 
Back
Top Bottom