Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ndugu eeeBaada ya jana ndugu wawili kukutana na ndugu mwenyeji kushinda mechi.
Leo pia kuna ndugu wa muda mrefu wanakutana, mnyama wa dar VS mnyama wa mkoani.
Tutegemee malalamiko gani baaadae jioni?
Acha kuchuria wanaume wewe nyashHii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!
Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
Costal si wanafadhiliwa na gsm?Kumbe ndio maana makolo jana wamepiga kelele juu ya Pamba ilikuwa ni kutupumbaza tusiongelee wao leo kucheza na toto lao?
Tatizo GSMAzam max leo haifanyi kazi au internet yangu tu ndio shida?
Tena hao mbumbumbu FC wapigwe kipigo cha mbwa koko ambaye ni mwiziNawatakia ushindi wa kishindo, shemeji zangu coastal union......
Sawa, tunashukuru tumeona goli la bahasha hapa.Leo ndo tunaangalia burudani sasa,
... maana Mechi ya jana ya Yanga ilikuwa ni zaidi ya maigizo yani haiwezekani Wachezaji wa Yanga wanakimbilia Golini kwa pamba wakafunge alafu wachezaji wa Pamba wanawafata huku wanatembea.
Pale ndo nikaelewa kwann yule Gabachori huwa anasema tu Yanga bingwa.