FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

Kwaio mnashindana kuanzia nyuzi za live updates?
Inakuwaje unaanzisha Uzi wakati tayari upo na ushapata wachangiaji wakutosha?? Au ndio akili za kimbumbumbu hizi
 
Kcha anawaangalia wachezaji!
 
Kakudanganya nani? Hapo ndio wachezaji wanajiona si lolote si chochote, mechi ya kwanza mmefungwa na timu dhaifu inayoshika mkia, leo mpo na Warusi mnapigwa nyingi, halafu Mbeya city wanapakia vumbi kabisa wapige kwenye mshono.
Inaweza ikawa ni timu ndogo EAU lakini ukija kufanya comparison kwa hapa bongo huwezi kuiweka nafasi sawa na Ihefu iliyomfunga Yanga

Na pengine ikawa on top hata kwa timu kubwa za hapa home ni kwasababu tu hujawahi kufatilia ligi ya huko ukapima ushindani wake unafanana sawa na huu wa NBC??
 
Hata kama, yaani kigogo wa soka barani Africa aneogopwa na kina Al Ahly Wydad Zamalek anafungwa na wavaa makobazi [emoji3064][emoji3064]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…