FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

Mkuu we umesikia vibaya
 
Russia ni wazungu [emoji23][emoji23]kweli mbumbumbu ni kipaji
Yanga mwenzangu. Hujui kuwa Russia ni wazungu?😳😳😳 Hapa umenishtua sana. Inabidi tuwe wakati flani tunaulizana elimu humu ndani. Usiwape kitu cha kututania hawa jamaa.....please nakuomba.🙏 Hujui kama Russia ni wazungu? Daaahh.... Sisi Yanga kweli tuna watu.
 
Huyo Jamaa ni empty set
 
Hapa kuna watu wenye nadharia mbili
1)kuna watu wanaohisi kuwa watu wote wanaotoka bara la ulaya watu wanadhani ni wazungu kitu ambacho sio
2) watu wote wenye ngozi nyeupe watu hudhani ni wazungu kitu ambacho sio

Wazungu wanakuwa na sifa zao kama vile macho, nywele, ngozi, n.k

Ila navyojua mimi warusi japo wanatokea ulaya lakini sio wazungu
 
Well, ni watu gani? 😳
 
Sasa wapo kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…