FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Ratiba ya Yanga ni ngumu.
26/10 Vs Coastal Union
30/10 Vs Singida Black Stars
02/11 Vs Azam.

Cheki Makolo
Leo Vs Namungo
29/10 Vs JKT Tanzania
01/11 Vs Mashujaa.

Hii ratiba sio rafiki kwa Yanga.
Ratiba imeboreshwa kidogo kutoka katika kumpangia Yanga fixture ngumu msimu uliopita Yanga ikawekwa na fixture ngumu
Vs Azam
Vs Singida
Vs Simba
Vs Coastal
 
Sijajua kwanini hua mnatumia kejeli kwa kuwatumia mama zetu wa kitanzania ..mama zetu wa kitanzania tena wemgine wanapambana kwa ajili ya familia wamewakosea nini hadi mnawatukana kiasi hiki kisa yanga na simba.
Mambo ya mpira yanawafanya watu wanaropoka bila kufikiri
 
Uwe unatangaza mechi zetu kila siku huwa una kismati
 
Mambo ya mpira yanawafanya watu wanaropoka bila kufikiri
Watu wanatukana mama zetu aisee hata mama ake anamtukana humu kisa anaichukia simba. Mama zetu wanatubeba miez 9, wanapambana huko masokoni ama ni manesi , wengine wako kwenye mabaa kaz zenye risk, wengine ni askari wanafanya kazi wanatukanwa matusi makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…