FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Mmeumia sana majirani zetu.
Sisi kumkanda Namungo.

Bado JKT next Tuesday, nyie si mlishindwa kuwafunga wakiwa pungufu?

Mtaujua uwezo wetu wa asili.

Sio nyie hadi msaidiwe na kina Kayoko
Hukuona matokeo ya Yanga na JKT mtani?
 
Rotation kama za leo ndiyo zimekuwa kilio changu. Wachezaji wote katika kikosi inabidi wajione ni sehemu ya mafanikio ya timu, pia inasaidia kuwaandaa kuwatumia muda wowote wanapohitajika na kupunguza hali ya baadhi kujiona bila wao timu haiwezi kushinda. Hivyo ndiyo timu zinazokuwa bingwa zinavyotengenezwa.
 
Ratiba ya Yanga ni ngumu.
26/10 Vs Coastal Union
30/10 Vs Singida Black Stars
02/11 Vs Azam.

Cheki Makolo
Leo Vs Namungo
29/10 Vs JKT Tanzania
01/11 Vs Mashujaa.

Hii ratiba sio rafiki kwa Yanga.
Eti SBS ni ngumu kwa Deportivo la Utopolo. Mnapenda kudhani watu wote hawajitambui.

Halafu mbona mnapenda kulialia. Kwa hiyo ulitaka upangiwe na nani?
 
Ratiba ya Yanga ni ngumu.
26/10 Vs Coastal Union
30/10 Vs Singida Black Stars
02/11 Vs Azam.

Cheki Makolo
Leo Vs Namungo
29/10 Vs JKT Tanzania
01/11 Vs Mashujaa.

Hii ratiba sio rafiki kwa Yanga.
Makolo wanabebwa.. bahati nzuri mashindano ya CAF yatatenganisha maji na mafuta
 
Eti SBS ni ngumu kwa Deportivo la Utopolo. Mnapenda kudhani watu wote hawajitambui.

Halafu mbona mnapenda kulialia. Kwa hiyo ulitaka upangiwe na nani?
😳 Umesoma ubao nani anaongoza ligi?
Na amekuachaje wewe Kolo?
 
Simba wanaizidi yanga kwa point. Simba na Singida Black stars wako kwenye CAF Championship wakati Simba na Fountain gate wako CAF Confederation
1729871737945.png
 
Ratiba ya Yanga ni ngumu.
26/10 Vs Coastal Union
30/10 Vs Singida Black Stars
02/11 Vs Azam.

Cheki Makolo
Leo Vs Namungo
29/10 Vs JKT Tanzania
01/11 Vs Mashujaa.

Hii ratiba sio rafiki kwa Yanga.
Sasa ugumu uko wapi wakati Singida ni tawi lenu halisi na inajulikana
 
Back
Top Bottom