FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024


#nguvumoja#...

UPDATES...
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.

updates...
DK 5'
Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe.
1-0

DK 10'
Game On
Simba wanamiliki ball kwa kasi kali
1-0

DK 14'
Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC.
Anaipiga Joshua Mutale
inaokolewa na Namungo.

DK 19'
Namungo wanapata free kick inapigwa inatolewa kwa kichwa na Chemalone, unarusha unapotea
1-0

DK 23'
Awesu Awesu anapata injury kidogo
mpira ulisamama kidogo.
unaendelea sasa
1-0

DK 26'
Joshua Mutale anafanya shambulizi kal hapa.
Anakusanya kijiji kwenye lango la Namungo, ila hafanikiwibkuutia kambani.

DK 27'
Simba wanapata free kick.
1-0

DK 31'
Sub kwa Simba! anatoka Awesu aliyepata majeruhi anaingia Ahoua.

DK 33'
Goooooooooooal, Jean Charles Ahoua anaipatia Simba goal la pili.
Akipokea assist nzuri sana kutoka kwa Shomari Kapombe.
Ni Chuma cha pili.
2-0

HT
Simba 2- 0 Namungo.

=====================
Kipindi cha Pili.

DK 46'
Mpira unaendelea bado umiliki uko kwa Simba.
2-0

DK 56'
Sub kwa Simba.
Mutale Out
Mavambo Inn

DK 59'
Simba wanapata kona.
haielti madhara kwa wapinzani

DK 75'
Sub kwa Simba.
Valentino Out
Fabrice Out
Chasambi Out
Ateba Inn
Mohamed Hussein Inn
Mzamiru Inn

DK 77'
Simba wanapata Free kick nje kidogo ya Lango la Namungo inapigwa inakuwa butu.
2-0

DK 83'
Namungo wanapata kona mbili mfululizo hazileti madhara kwa Simba SC

DK 84'
Mavambooooooooo
anatia chuma ya tatu hapa.
Baada ya kupokea assist murua kabisa kutoka kwa Lionel Ateba.
Simba 3 - 0 Namungo

DK 90'
Shomari Kapombe anatangazwa Man of the Match
3-0

Full Time
Simba SC 3-0 Namungo
View attachment 3135055
Simba A vs Simba B
 
Haya ni maneno ya Mwina kaduguda, moja kati ya Ma legendary hapo mikiani. Nimefanya copy & paste tu...
Wewe mwenyewe uliliewa huko kwny hilo kombe tena mlikua mnainusa club bingwa kwa mbaliii
Pambafuuuu
 
Watu wanatukana mama zetu aisee hata mama ake anamtukana humu kisa anaichukia simba. Mama zetu wanatubeba miez 9, wanapambana huko masokoni ama ni manesi , wengine wako kwenye mabaa kaz zenye risk, wengine ni askari wanafanya kazi wanatukanwa matusi makubwa
Hilo unalosema nilishawahi kulihoji humu wakati fulani
 
We unaota kumbe. Bado unawenge la kipigo cha tarehe 19 eti

Ni Kukosa tu akili.
Game imeshaisha , Simba sio timu yako,
Unakuja kubishania hapa ni nini?,

Nyuma mwiko bana.

Watoto chini ya miaka 18 wanaokaa kwao ndio kazi pekee waliyonayo.

Wanaume hawana muda huu.
 
Back
Top Bottom