Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Bila figusu za mawaziri 6 nk. Simba hii haishikiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku mkigusa mnapata cha mbwa kokoMna gubu Sana nyie watu.
wameona wivuCamera za Azam zazua gumzo kwenye uchambuzi
Hakuna anayeona vizuri tukio tata la mpira kuguswa na mkono
Yaani kama vile mna kina Mbape kwenye katimu kenu😄😆😃Huku mkigusa mnapata cha mbwa koko
Unamlazimisha?Cookie ball limeisha
3-0
Itakua jitu la utopolo limebonyeza rimotiAzam wanafanya ujinga gani hapa??
😃😆😄Unamlazimisha?
Yanga ni zaidi ya mbappe 😀Yaani kama vile mna kina Mbape kwenye katimu kenu😄😆😃
Kikao kizito cha mawaziri sita na refa kuhakikisha simba haishindi derby.Bila mawaziri 6 nk. Simba hii haishikiki
Wengi wa modereta ni utopwinyo😄😆😃Nguvu moja daima,hlf score bord mbona inapunja hapo juu
Mavambo ana touch hazipo kwa viungo wengi wa kibongo.Aucho + Ki Aziz = Fernandez
View attachment 3135006
Speed inatakiwa ianzishwe na mabeki. Kama mabeki wanapenda kukaa na mipira, kupasiana pasi zisizo na maana na kurudisha mipira nyuma inayotakiwa kwenda mbele, washambuliaji na viungo nao lazima watapoa tu.Kuna wachezaji Simba ni wajinga hadi inakera. Utadhani wameokotwa Tandale vile. Sijui kwanini hawaoni umuhimu wa kushinda kwa magoli mengi wanapokutana na hizi timu dhaifu