Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huku ndo sehemu zenu sasa, hawa ndo watu wa kucheza nao.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna gubu Sana nyie watu.Huku ndo sehemu zenu sasa, hawa ndo watu wa kucheza nao.....
Sio wale warundi na waethiopiaHuku ndo sehemu zenu sasa, hawa ndo watu wa kucheza nao.....
Furaha yao ni kuzifunga timu ambazo ni matawi yao[emoji1787][emoji1787]
Na Bado waamuzi Wana dhalilika😃😃Furaha yao ni kuzifunga timu ambazo ni matawi yao[emoji1787][emoji1787]
Kuna MTU kakuomba kuleta ta.ko hapa??Furaha yao ni kuzifunga timu ambazo ni matawi yao[emoji1787][emoji1787]
BahashaNamungo walikosea sana kumtoa kocha saa chache kabla ya kwenda kwenda kwenye mechi hii.
Macth ndogo hizo azam hawashobokeiAzam wanafanya ujinga gani hapa??
kama vile Singida Fountain GateFuraha yao ni kuzifunga timu ambazo ni matawi yao[emoji1787][emoji1787]