FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Hakuna uhalisia kabisa ktk hizi game za Simba.. yani sijui ni hongoo...
Upumbavu mtupu.

Yanga inavyokamiwa huwezi amini!
Afisa ubashiri ushaliwa hela ya kumnunulia fungu la dagaa mchele usipokopa songesha leo utalala njaa
 
Yanga wana hasira sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wachawi tu
 
View attachment 3134872

#nguvumoja#...

UPDATES...
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
View attachment 3134907
View attachment 3134908

updates...
DK 5'
Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe.
1-0

DK 10'
Game On
Simba wanamiliki ball kwa kasi kali
1-0

DK 14'
Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC.
Anaipiga Joshua Mutale
inaokolewa na Namungo.

DK 19'
Namungo wanapata free kick inapigwa inatolewa kwa kichwa na Chemalone, unarusha unapotea
1-0

DK 23'
Awesu Awesu anapata injury kidogo
mpira ulisamama kidogo.
unaendelea sasa
1-0

DK 26'
Joshua Mutale anafanya shambulizi kal hapa.
Anakusanya kijiji kwenye lango la Namungo, ila hafanikiwibkuutia kambani.

DK 27'
Simba wanapata free kick.
1-0

DK 31'
Sub kwa Simba! anatoka Awesu aliyepata majeruhi anaingia Ahoua.

DK 33'
Goooooooooooal, Jean Charles Ahoua anaipatia Simba goal la pili.
Akipokea assist nzuri sana kutoka kwa Shomari Kapombe.
Ni Chuma cha pili.
2-0

HT
Simba 2- 0 Namungo.

=====================
Kipindi cha Pili.

DK 46'
Mpira unaendelea bado umiliki uko kwa Simba.
2-0

DK 56'
Sub kwa Simba.
Mutale Out

DK 59'
Simba wanapata kona.
haielti madhara kwa wapinzale
 
Hapo ndugu yenu mgunda kawaachia basi mnajiona sana hiyo combination play mbona jumamosi hatukuiona?
Inaonekana hata nilichoandika hujasoma hakuna hata sehemu moja nimeisifia simba sasa habari za jumamosi sijui unazitoa wapi nenda temeke kwa koyoko ukamuulize habari za juma mosi.
 
Nilisema leo kuna 4+ hapa
 
Inaonekana hata nilichoandika hujasoma hakuna hata sehemu moja nimeisifia simba sasa habari za jumamosi sijui unazitoa wapi nenda temeke kwa koyoko ukamuulize habari za juma mosi.
Sasa kolo unalia nini?
 
Kuna wachezaji Simba ni wajinga hadi inakera. Utadhani wameokotwa Tandale vile. Sijui kwanini hawaoni umuhimu wa kushinda kwa magoli mengi wanapokutana na hizi timu dhaifu.
 
Back
Top Bottom