FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FADLU fundisha sasa Clinical finishing..

Naludia tena Simba ya mwaka huu imeimarika sana changamoto ndogo tu ipo kwenye umaliziaji tukirekebisha hapo..... Gongowazi hatokuwa tena mshindani wetu tutaanza kuangalia namna gani tunaweza kujiunga na Ligi ya La Liga.
Washambuliaji wapo ila wanakosa vitu vitatu. Utulivu, ushirikiano na uchu. Fadlu afanyie kazi hayo maeneo matatu.
 
Mbege zinakusumbua meku
Kula Chuma Hikoooo
FB_IMG_17298643305685602.jpg
 
Camera za Azam zazua gumzo kwenye uchambuzi

Hakuna anayeona vizuri tukio tata la mpira kuguswa na mkono
 
Namungo walikosea kumpa team beki tatu wa simba

Ona sasa anaachia tu bosi wake aingize
 
Simba hakuna mchezaji wa kumuweka benchi ngoma.
Combination play kwa simba ni ngumu hasa kwenye final third.
Wachezaji wa simba waache ubinafsi inamaana kocha halioni hili.
 
Simba hakuna mchezaji wa kumuweka benchi ngoma.
Combination play kwa simba ni ngumu hasa kwenye final third.
Wachezaji wa simba waache ubinafsi inamaana kocha halioni hili.
Hapo ndugu yenu mgunda kawaachia basi mnajiona sana hiyo combination play mbona jumamosi hatukuiona?
 
Ndani ya dakika 2 wachezaji 3 wa Simba wanaumia. Uto punguzeni makali kidogo, sisi ni ndugu
 
Back
Top Bottom