FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Namna gan pale! Hawa maveteran wa Namungo washakata moto🤣🚮
 
Makuruta Someni Ubaooo Sema Waziiiii Afandeeee
FB_IMG_17298643305685602.jpg
FB_IMG_17297727409565526.jpg
 
Camara anafanikiwa kudaka mpira uliokuwa na hatari kubwa baada ya Namungo kufanya counter attack
 
MUSSA KAMARA anaweza kucheza kabisa EPL
 
Back
Top Bottom