FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Tutapiga mamtu leo
 
Namungo watakoma leo
 
Jifunze mpira dogo. Kutoshinda mechi hakumaanishi hauwezi kufungwa na hiyo timu. Ihefu ilikuwa inashika mkia ilipoifunga Yanga.

Na hapa nimeongelea historia ya timu.
Kwahiyo wewe unataka Pamba Kila ikicheza na Yanga ishinde ndo haki itakua imetendeka sio?
 
Kutazama mechi za 5imba inaitaji moyo, wamepooza sana km vile hawana matumaini yoyote yale na ubingwa
 
Siku SIMBA ikipata mafundi 2 -3 Pale mbele...mbona mraba po kwa huyu FADLU
 
Back
Top Bottom