FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Timu ambazo huwa mnasema zinaipa Simba ushindi wa bure ndiyo huwa zinachangia kuinyima point za ubingwa
Mgunda hawezi saliti kituo chake cha kazi cha kudumu hapo namungo anajua wazi yy ni mpitaji tu.
 
Dua la kuku
Gsm anchofanya amenunua timu ambazo zitachrza na wao ambazo hazina uwezo sana ili zipate point za bure, timu nyingine zimefaziliwa pia na mtu mwingine wa yanga kwa pesa nyingi kama singida stars ambao sasa simba haitakua na upinzan pekee kwa hao supu fc bali hata singida
 
Mgunda hawezi saliti kituo chake cha kazi cha kudumu hapo namungo anajua wazi yy ni mpitaji tu.
Mgunda hawezi kuwa na influence hiyo wakati kapewa timu ndani ya muda mfupi na aliowakuta wote wapo wamemzunguka. Mnasema haya mapema ili Simba ikishinda mpate cha kusema. Siku nyingine jaribuni kuwa watu wa mpira.
 
Gsm anchofanya amenunua timu ambazo zitachrza na wao ambazo hazina uwezo sana ili zipate point za bure, timu nyingine zimefaziliwa pia na mtu mwingine wa yanga kwa pesa nyingi kama singida stars ambao sasa simba haitakua na upinzan pekee kwa hao supu fc bali hata singida
Hilo linajulikana. Timu zote zenye historia ya ukaribu na Simba ambazo labda wanadhani zingeweza kuleta ugumu kaweka pesa yake, kuanzia Pamba hadi Coastal. Mechi pekee ambazo Yanga anawekeza nguvu ni dhidi ya Simba, kwingine kote ushindi ni kama kusukuma mlevi, hapo si utakuwa bingwa hata kwa miaka 20 mfululizo.
 
Pamba msimu huu hajashinda game yoyote... Lakini Mbumbumbu mnataka Yanga ndo ifungwe na Pamba???
Sanamu la Rage lijengwe pale Fire mwendokasi [emoji28]
 
Jifunze mpira dogo. Kutoshinda mechi hakumaanishi hauwezi kufungwa na hiyo timu. Ihefu ilikuwa inashika mkia ilipoifunga Yanga.

Na hapa nimeongelea historia ya timu.
 
Simba 1. Namungo 0
 
Back
Top Bottom