Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nimepata wakati mgumu sana kumtambua huyo mchezaji, clip ya mwanzo nilijua neymar, afu hii ya pili zile turning nikajua mbape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata wakati mgumu sana kumtambua huyo mchezaji, clip ya mwanzo nilijua neymar, afu hii ya pili zile turning nikajua mbape
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pesa sio shida,Simba pesa ipo.
Watamuache tu huyo aende timu nyingine ya kukaba mabeki huko.
Nahamia Chelsea muda huu..wale tunaofanana tujuane
Nahamia Chelsea muda huu..wale tunaofanana tujuane
Umemsikia kocha? kwamba Simba akafungwe goli 4?unawaza kiutopoloHata ile mechi yenu na wale wabotwana ilikuwa hivi hivi first leg
[emoji16][emoji16]Nimepata wakati mgumu sana kumtambua huyo mchezaji, clip ya mwanzo nilijua neymar, afu hii ya pili zile turning nikajua mbape
Mlivyotoka Botswana tulimsikia kocha pia ila mkachapwa nyumbani kikatiliUmemsikia kocha? kwamba Simba akafungwe goli 4?unawaza kiutopolo
Magoli yaendeleeWale wenzangu wa simba mbovu mwaka huu,,, nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Habari za hivi punde
Utopolo waonekana mitaa ya CAS