FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

Uto wachawi , watamfunga miguu morison
Labda itokee suprise kama ya kigoma
Wlimsahau lwanga akawanyoosha
Hakuna timu iliyofungwa na uto Mara nyingi zaidi ya Simba,Mara zote hizi ni uchawi!?..Simba hawalogi!?
 
Uyu wa sasa ni simba wa kibisa hana meno zaidi ya kutegemea chupli chupli ili ashinde mechi zake
Luc alikuwa sahihi kuwafananisha washabiki wa Yanga na nyani,wewe ndiye huyo aliyetoa ulimi hapo hapo
FB_IMG_1625214394973.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya marudiano huko Lusaka, kwa kusoma kauli ya kocha wao, Simba iwe makini na hujuma hasa kuhusiana na vipimo vya corona. Simba ijipange mapema...
 
Bora tulitolewa klabu BINGWA tukamfukuza Gomes ,tungempataje Pablo ,Simba anaenda kuwa BINGWA kombe la shirikisho
Hakika
Gomes alikuwa kikwazo Simba.
Hasa kutokana na chuki zake zisizo na sababu kwa baadhi ya Wachezaji.
Kipindi kifupi cha Pablo kikosi kimeanza kuimarika.
Akina Ajibu wanaanza kucheza mpira.
Kagere anafunga tena.
Morrison kipaji kinaonekana.

Gomes hakustahiri kuifundisha Simba.
 
"kabla ya mechi nilipata bahati ya kuzungumza na kocha akanieleza kuwa ana mpango wa kuwapeleka wachezaji coco beach, nikajiuliza coco beach wanaenda kufanya nini, basi nikaona isiwe tabu na mimi nikawatimbia pale coco hamadi! nawakuta wapo kati kati ya bahari wanacheza mpira" - alisikika shabiki mmoja wa mnyama

Haki ya nani nimecheka sana leo [emoji23][emoji23]
 
Ushabiki wa bongo raha sana...huyo msemaji wa hiyo kauli anajiita zidane, mzee wa pasi milioni [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom