The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Leo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars.
Updates...
Mechi imeaanza
Updates...
Mechi imeaanza
- Dakika ya 14 milango bando ni migumu
- Dakika ya 16 Valentino Nouma anaitanguliza Simba kwa mpira wa Free Kick (Simba 1 - 0 TMA)
- Dakika ya 19 TMA Wanajifunga Sixtus Sabilo OG (Simba 2 - 0 TMA)
- Dakika ya 24 kipa wa TMA anapangua shuti kali na la moto kutoa kwa Debrah Fernandez Mavambo
- Half Time Simba 2 - 0 TMA
- Kipindi cha pili kimeanza
- Goooal Ateba anafunga goli la 3