Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamani Mwadui FC ya Shinyanga sasa ni BigMan fc Mtwara baada ya kununuliwaFull time Simba 3 TMA 0
Simba eti baada ya hapa anakutana 16 bora na timu ya Bigman! Sijui ndiyo timu ya wapi hii!!
Wewe mbona tunakujua ni mwiko nyuma. Umekuwa mnyama lini?Hii game naiangalia,
Mimi kama shabiki wa Simba, tulistahili kabisa kukimbia tarehe 8.
Tungepigwa kama ngoma.
Bodi ya ligi watakuwa wanaipendelea SimbaFull time Simba 3 TMA 0
Simba eti baada ya hapa anakutana 16 bora na timu ya Bigman! Sijui ndiyo timu ya wapi hii!!
Wewe mbona tunakujua ni mwiko nyuma. Umekuwa mnyama lini?
Kweli kabisa mwanetuKuna mtangazaji mmoja kwenye Wasafi Tv alisema za ndaaani kabisa Simba hawako fiti ndio maana wakatafuta namna ya kukimbia mechi. Hapa ndio naanza kuamini
Tulikimbia sanaMnafurahi wenyewe kukimbia wanetu kwa kikosi hiki HT ulikuwa unakula 4 😀 na kuendelea
kama kocha angeweka kikosi hiki, au sio?Kabisa, mimi Mnyama since Day1.
Ile Tarehe 8 tungeteseka sana.
Big Man imeiondoa Prisons ya Ligi KuuSimba eti baada ya hapa anakutana 16 bora na timu ya Bigman! Sijui ndiyo timu ya wapi hii!!
Ndivyo ilivyokuwa.Nimeangalia kikosi kinachoanza na wale wa akiba sijaona jina la camara na che Malone kuna kitu nimeamini
Uwanja ni mali ya Serikali, komandoo anapata wapi nguvu ya kuzuia?Kuna watu watakupinga. Ila ukweli ndiyo huu. Sababu ya makomandoo ilikuwa ni kisingizio tu cha kuiepusha timu kudhalilika.
You are right Mr 🐸Kabisa, mimi Mnyama since Day1.
Ile Tarehe 8 tungeteseka sana.
Ilikuwa piga uwa, Yanga anashinda kuanzia 2... kila walipochungulia wakaona bora tusicheze, kuzuia hii aibu ya mwaka.
Ki ukweli leo kanishangaza sana tena akiwa na kitambaa mkononi. Tena tatu mwalogo kamstahi sana toka mwanzo alipoung'ang'ania mpira. Na mara ya pili akawa hataki kuanzisha mpira sijui mashetani gani yalimpanda leoHuyu shomari mbona anatafuta kadi ya lazima