The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
VS BODI YA LIGILeo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars.
View attachment 3266770
View attachment 3266776
Eh.. Kwani mlileta makomandoo koko kama juzi?Nikajua na leo tunasusia eti!
Mbona husomeki mkuu?HIi game BODI ya LIGI washamaliza mapemaa hii timu Bora wasitokee WAKAE pale afrikasana waonywe pombee
Kuna watu watakupinga. Ila ukweli ndiyo huu. Sababu ya makomandoo ilikuwa ni kisingizio tu cha kuiepusha timu kudhalilika.Nimeangalia kikosi kinachoanza na wale wa akiba sijaona jina la camara na che Malone kuna kitu nimeamini
Ndiyo waliosababisha mkasusa!Eh.. Kwani mlileta makomandoo koko kama juzi?
Tangu lini wajeda wa bongo wakawa vibonde?Leo tunakutana na vibonde leo mutale atakua Messi mtupu
Jeshi la tatu kwa ubora Afrika unaliweka kwa kundi la vibonde?Leo tumekutana na vibondde hatuwakimbii