FT | Simba SC 3-0 TMA Stars | March 11, 2025 | 04:00p.m | KMC Complex

Kuangalia mechi za Simba ni Umama,mwanaume lijali huweziii poteza dk 100 unakodolea watuuzi makolo wenge akili 2.
Kuangalia mechi zote, sio Simba tu. Kwani hamna kazi za uzalishaji mali?
 
Sema Simba kuna baadhi ya Maproo wenu itabidi muachane nao. Mmojawapo ni huyu Joshua Mutale. Binafsi namuona kama ana uwezo wa kawaida sana kwa mchezaji wa Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…