FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Jambo lingine ambalo linahitaji kufanyiwa kazi ni pasi zisizo na umuhimu. Simba wanacheza pasi nyingine hazina umuhimu. Pasi za kimkakati ndio muhimu na wasijisahau.
 
Zimbwe kacheza hovyo dakika hii ya mwisho
 
Sehemu ya kushuti we unapiga chenga ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…