FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Hivi Singida wanaupiga mwingi au Simba ndio mbovu[emoji848][emoji848]??
 
Acheni mbwembwe zenu za kubebwa hapa...mnakuja na hoja za kubebwa ili Simba ionekane haifai au?? Simba ni simba aisee hii sio saizi ya Simba..ikishinda imeshinda...wapigieni TFF basi REFA abadilishwe kama mnaona atawabeba Simba
 
Juzi hapa mlikuwa mnasema mnataka Pira la kushambulia, saiv aaangalie 😂😂😂.
 
Hivi unaangalia mpira au unahadithiwa? Singida wanatembeza boli haswa, haya matokeo ya 2-1 hayasadifu kabisa kinachoendelea hapa uwanjani
Mpira ninauangalia vizuri, SBS wamepata nafuu baada ya Ndemla kuingia.
 
Umesahau jinsi Singida walivyokuwa ovyo kule golini kwao. Simba pia inauwezo wa kupata goli zaidi pia
 
Acheni mbwembwe zenu za kubebwa hapa...mnakuja na hoja za kubebwa ili Simba ionekane haifai au?? Simba ni simba aisee hii sio saizi ya Simba..ikishinda imeshinda...wapigieni TFF basi REFA abadilishwe kama mnaona atawabeba Simba
Mbinu yao, ili wakiona maji yamezidi unga wapate kisingizio..
 
Acheni mbwembwe zenu za kubebwa hapa...mnakuja na hoja za kubebwa ili Simba ionekane haifai au?? Simba ni simba aisee hii sio saizi ya Simba..ikishinda imeshinda...wapigieni TFF basi REFA abadilishwe kama mnaona atawabeba Simba
Kubebwa hamkuanza Leo, ni kawaida yenu
 
Ila squad depth yetu inatia mashaka sana wakuu, na jaribu kuagalia kama kuna Sub yoyote inayoweza kufukia baadhi ya makosa ambayo ninayaona, ila siioni kabisa.

Au nyinyi mnaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…