Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Wewe ndio ulihisi hivyo ila kawaida yetu ni kuheshimu mpinzani yoyote haijalishi hali aliyonayoNa promo mkapiga na kwa wasiojua ligi yetu walidhani mnacheza na timu yenye upinzani kama Al Ahly
Hizi kauli mshasema sana na bado mnapigwaUnabisha Sasa....???
Simba inashambuliwa sana ingawa kule mbele kumeimarika ila kati kati pana shida.Tukubali tukatae simba hatuna viungo 6 na 8... Mzamiru kapwaya siku hizi.. Hii ni ya ngapi sijui wapinzani wanatawala wao mechi. Jana saido alijaribu kushuka chini kusaidia saidia.. Matokeo tunapata lakini mchezo hatuchezi vizuri.
Jioni simba ilicheza samba, lakini ile ilichangiwa na vitu viwili.
Kwanza mpinzani ashajikatia tamaa dk za nyongeza anaongozwa 3-1
Pili, chama na kina saido walishuka tucheze, hatukuwa tukitafuta goli tena, chama alishuka kabisa kusambaza upendo alichokuwa anakifanya chama ndio mzamiru anapaswa kufanya.
Hapana kinachosababisha tushambuliwe sana ni kubadilisha pattern ya uchezaji wakati mfumo ukibaki kuwa ule ule.Tukubali tukatae simba hatuna viungo 6 na 8... Mzamiru kapwaya siku hizi.. Hii ni ya ngapi sijui wapinzani wanatawala wao mechi. Jana saido alijaribu kushuka chini kusaidia saidia.. Matokeo tunapata lakini mchezo hatuchezi vizuri.
Jioni simba ilicheza samba, lakini ile ilichangiwa na vitu viwili.
Kwanza mpinzani ashajikatia tamaa dk za nyongeza anaongozwa 3-1
Pili, chama na kina saido walishuka tucheze, hatukuwa tukitafuta goli tena, chama alishuka kabisa kusambaza upendo alichokuwa anakifanya chama ndio mzamiru anapaswa kufanya.
Walichokifanya Singida baada ya kufungwa goli la pili ni kile kile alichokifanya Mbeya City waliona spaces nyingi kwenye eneo letu la ulinzi.Tukubali tukatae simba hatuna viungo 6 na 8... Mzamiru kapwaya siku hizi.. Hii ni ya ngapi sijui wapinzani wanatawala wao mechi. Jana saido alijaribu kushuka chini kusaidia saidia.. Matokeo tunapata lakini mchezo hatuchezi vizuri.
Jioni simba ilicheza samba, lakini ile ilichangiwa na vitu viwili.
Kwanza mpinzani ashajikatia tamaa dk za nyongeza anaongozwa 3-1
Pili, chama na kina saido walishuka tucheze, hatukuwa tukitafuta goli tena, chama alishuka kabisa kusambaza upendo alichokuwa anakifanya chama ndio mzamiru anapaswa kufanya.
Siyo kila pungufu kwenye timu lazima litatuliwe kwa usajili mkuu.Simba inashambuliwa sana ingawa kule mbele kumeimarika ila kati kati pana shida.
Tizama midfielder yetu inavyocheza, mzamiru anapoteza mioira mingi, siku hizi sio press resistance mzuri kama hapo awali, hakimbi sana uwanjani, muda wa kuomba moira anasimama kwa adui.Walichokifanya Singida baada ya kufungwa goli la pili ni kile kile alichokifanya Mbeya City waliona spaces nyingi kwenye eneo letu la ulinzi.
Wakacommit mchezaji mmoja kuexploit free zone inayoachwa na Mshambuliaji mmoja kwenda kuwapress centerbaks wetu wakawa wakivusha mpira kwenye mstari wetu wa pili wa ulinzi wanakuwa free.
Kingine bado wacheza hawajazoea mfumo mpya wa mwalimu ndiyo maana tunasuffer sana tunapopoteza mpira tukiwa juu, tunachelewa kufanya ball recoveries wakati huo wachezaji wanakuwa hawako kwenye nafasi zao.
Sasa kuloose compactness kunaanzia ndani, chama kaishawahi kucheza winga na timu ikkawa inacheza, workrate ya mzamiru imepungua. Mtizame vizuri kaka, na kanoute nae si mzuri. Wanakaba, shida kwenye kucheza.Hapana kinachosababisha tushambuliwe sana ni kubadilisha pattern ya uchezaji wakati mfumo ukibaki kuwa ule ule.
Sasa hivi ukiangalia timu inavyocheza karibu wachezaji 7 wanakuwa kwenye eneo la mpinzani hivyo opponents wetu wanatumia mwanya huo kupiga long balls ambazo zinavuka mstari wetu wa pili wa ulinzi na kuangukia kwenye free spaces zinakuwa zimeachwa na fullbacks pamoja na kiungo mmoja wa ulinzi.
Pia Chama kucheza pembeni kunafanya tusiretain possession katikati na kuloose compactness yetu.
Mchezaji hawezi kuwa press resistant leo halafu kesho akawa siyo press resistant mchezaji kuwa press resistant ni kitu natural na kinatokana na art yake ya uchezaji na uwezo wa kuabsorb press vizuri.Tizama midfielder yetu inavyocheza, mzamiru anapoteza mioira mingi, siku hizi sio press resistance mzuri kama hapo awali, hakimbi sana uwanjani, muda wa kuomba moira anasimama kwa adui.
Kama inawezekana tukutane tutizame marudio, nikuoneshe mapungufu ya namba 6 na 8 yetu.
Hakuna namna nzuri ya kucheza zaidi ya kkumiliki mpira, chama na sakho ni wachezaji wazuri wakiwa na mpira, hata baleke sijaona kukaba, kutia presha kwa adui.
Yawezekana aliwahi kucheza huko lakini kukawa na proper replacement kwenye eneo lake.Sasa kuloose compactness kunaanzia ndani, chama kaishawahi kucheza winga na timu ikkawa inacheza, workrate ya mzamiru imepungua. Mtizame vizuri kaka, na kanoute nae si mzuri. Wanakaba, shida kwenye kucheza.
Tukutane Super Cup...ohhh sio CAF championship..Ni Superrr CUp....Hizi kauli mshasema sana na bado mnapigwa
Naungana na weweSiyo kila pungufu kwenye timu lazima litatuliwe kwa usajili mkuu.
Kwa mtazamo wangu tuna defensive midfielder wazuri kuliko timu yoyote kwenye ligi kuu.
Yawezekana aliwahi kucheza huko lakini kukawa na proper replacement kwenye eneo lake.
Mfano mzuri mechi yetu na FC platinum kulikuwa na Bwalya, Chama, na Luis maana yake Bwalya alicheza nafasi ya Chama na Chama akaenda kushoto.
Mechi yetu na AS Vita tulicheza kwa similar pattern kama tulivyocheza na Platinum Fc.
Mpira wa sasa siyo energy tu ni sayansi badiliko lolote kwenye style of play linaweza kumpa opponent tabu au likampa ahueni.
Simba walikuwa wamekamata katikati.Labda nikuulize kwanini Singida walimtoa Aziz Andambwile na kuingia Ndemla ??
Hata mimi nilifikiria hivyo. Ila sio mbaya mmoja akianza wengine wanaingia dk 60. Inakuwa kama mpira ndio umeanzaKocha atakuwa na hard time kuchagua nani aanze
Ukizingatia Moses Scars Phiri amepona na Banda naye kapona
Simba hii viongozi wasipoweka mbele interest zao itakua tishio sana,tuna wachezaji wazuri sanaKocha atakuwa na hard time kuchagua nani aanze
Ukizingatia Moses Scars Phiri amepona na Banda naye kapona