joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Honesty sikutizama mpira dk zote ila kwa dk 60 nilizotizama kabla Tanesco kufanya yao ,Sakho hakutakiwa hata kurudi kipindi cha pili na Sakho hii sio mechi ya kwanza style yake ni ile ile ya kukaa na mpira bila kufanya cha maana na kupoteza mipira.Makosa ya wachezaji ni sehemu ya mchezo kwahiyo huwezi kuyaondoa unapoangalia matokeo, unaposema game ingeisha droo bila yale makosa ya Kagere unakuwa na akili za kikombolela tu.
Haya na mimi nasema hivi, bila makosa ya Baleke (zile nafasi mbili) na lile kosa moja Zimbwe, game ingeisha 6-3.
Ushabiki usiwatoe akili.