FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Mtangazaji: Unafikiri nini sababu ya kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Simba?

Kelvin Nashon: Simba walicheza wakiwa 12

Mtangazaji: Kivipi mbona wote mlikuwa sawa uwanjani?

Kelvin Nashon: Kulikuwa na Chama eneo la ulinzi, eneo la kiungo na eneo la ushambuliaji.
Nimecheka kama duanzi
 
Ahsante mkuu. Hawa yanga watadondosha point kweli? Ili angalau simba tupande [emoji2]
Wapi Sasa mkuu? Sisi Simba naona kma tunajiangaisha tu, tukishinda/tukidroo au tukifungwa bado tupo pale pale tu[emoji23][emoji23][emoji23] Yanga wapewe tu kombe lao
 
Mechi bado ipo wazi kwa kila timu.., ubaya kwa Simba hawana tena kikosi nje!!!, Singida wamekosa umakini vinginevyo walipaswa kuwa na goli zaidi ya 2. Simba hawana uwezo wakuizuia singida isipate gori lingine na Kanouute asipobebwa na refa lazima achukue mwekundu wake.... Nje ya kubebwa Simba hawezi shinda hii mechi... See you after 90mins
Unasemaje wew rudi
 
Back
Top Bottom