Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
[emoji23]Leo sina ratiba ya kula msosi
Shibe ya soka waliyotoa Simba inatosha kunifikisha mpaka kesho mida kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Leo sina ratiba ya kula msosi
Shibe ya soka waliyotoa Simba inatosha kunifikisha mpaka kesho mida kama hii
Sawadogo analeta uhai pale katikati kwakua anaweza kukaba na kumiliki mpira kwa wakati mmoja, tunahitaji utimamu wake kimwili kuelekea mechi za CAF.Hii combination ya Chama, Sakho, Sawadogo na Ntibazonkiza ni balaa. Sjui ingekuwaje Phiri naye angekuwa ndani.
Kwa sababu kafunga........? Hivi ushajiuliza kapoteza mipira mingapi, shukuruni leo Singida hasa Kagere hakuwa makini hii mechi ingeisha kwa droo.Umeona alichokifanya uko
Nasikitika kutocheza kwenye CAF angetusaidia sanaChama dunia nzima hakuna
Naona uko peke yako, wenzako wale wazee wa bonus wako wapi?Bahasha
Kama sio mambo ya bahasha mngedhalilika sana,karibu uone pira la halali keshoNaona uko peke yako, wenzako wale wazee wa bonus wako wapi?
Ingekuwepo Bahasha ingehalalisha bao la pili la Baleke lililokataliwa kwasababu ya offsideKama sio mambo ya bahasha mngedhalilika sana,karibu uone pira la halali kesho
Huijui simba wewe. Unapozani ndio sio, unapozani sio ndio. Nguvu mokoKwa sababu kafunga........? Hivi ushajiuliza kapoteza mipira mingapi, shukuruni leo Singida hasa Kagere hakuwa makini hii mechi ingeisha kwa droo.
Ila ndigu yangu Simba kila siku ile identity yake inazidi kupotea, huko muendapo na huu mfumo anaotaka huyu kocha itawabidi muwe wavumilivu sana.
NaamTujiandae kisaikolojia Makolo wenzangu,kipigo leo hakikwepeki, tulikuwa tunashadadia mkataba wa Yanga tukasahau game yetu
Wewe ndiye hujui mpira kisa kafunga ndio anajua.Huijui simba wewe. Unapozani ndio sio, unapozani sio ndio. Nguvu moko
Simba wanafurahi wewe unawashauri......Kwa sababu kafunga........? Hivi ushajiuliza kapoteza mipira mingapi, shukuruni leo Singida hasa Kagere hakuwa makini hii mechi ingeisha kwa droo.
Ila ndigu yangu Simba kila siku ile identity yake inazidi kupotea, huko muendapo na huu mfumo anaotaka huyu kocha itawabidi muwe wavumilivu sana.
Umeona alichokifanya uko sakho kama ungekua kocha ushatimuliwa mchezaji akiyumba kidogo nje ahaaa
Kocha anajua anafanya nini Kwamba ukijichanaganya ana kuweka ndio mana alimuachaKwa sababu kafunga........? Hivi ushajiuliza kapoteza mipira mingapi, shukuruni leo Singida hasa Kagere hakuwa makini hii mechi ingeisha kwa droo.
Ila ndigu yangu Simba kila siku ile identity yake inazidi kupotea, huko muendapo na huu mfumo anaotaka huyu kocha itawabidi muwe wavumilivu sana.
Ni swala muda uzuri JF ipo hapa mda si mrefu mtakataa.Simba wanafurahi wewe unawashauri......
Mfumo upi?
Ni ajabu Nyoka nyoka kumshauri Simba.
Makosa ya wachezaji ni sehemu ya mchezo kwahiyo huwezi kuyaondoa unapoangalia matokeo, unaposema game ingeisha droo bila yale makosa ya Kagere unakuwa na akili za kikombolela tu.Kwa sababu kafunga........? Hivi ushajiuliza kapoteza mipira mingapi, shukuruni leo Singida hasa Kagere hakuwa makini hii mechi ingeisha kwa droo.
Ila ndigu yangu Simba kila siku ile identity yake inazidi kupotea, huko muendapo na huu mfumo anaotaka huyu kocha itawabidi muwe wavumilivu sana.