Upo Wapi Wewe Endelea Na Mkataba Wenu Wa Kifuani Sijui MnanyonyeshsTujiandae kisaikolojia Makolo wenzangu,kipigo leo hakikwepeki, tulikuwa tunashadadia mkataba wa Yanga tukasahau game yetu
Nani Kassma NyepesiKila la kheri wanyiramba&wanyaturu mechi hii ni nyepesi kuliko ile ya azam mshindwe wenyewe kuwapakata.
Utabiri huu upo badoSingida big [emoji93] 2-1Simba[emoji190]. Nimekaa paleeeee [emoji117][emoji117]🪑
Tutampa zawadi ya geleni mojaAje Huku tunakamua mafuta ya Alizeti grade
Tupe kwanza advance hata ya kubweka kidogoSingida big [emoji93] 2-1Simba[emoji190]. Nimekaa paleeeee [emoji117][emoji117]🪑
Sema tenaaaaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1] anyway Simba guvu moya[emoji123]
Vipi, uzi wako ila juu huweki updates?Ndiki imeanza
VisingizioKagere na Wawa naona namba zao mnazo na mmezitumia vizuri.
Bruno umemuona.Visingizio
SawaSimba anagongwa. Niko paleee nina period
Tulia ww singida 3-2 simba hii game bado sanaUtabiri huu upo bado