Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Hakika Swahiba.Mbeleko hii
Yaani magoli ya kutafutiwa kabisa haya. 😌
Hakika Swahiba.Mbeleko hii
Ishukuruni hiyo sijui VSnini nini huko. 😔FT 3-2
Watoto wadogo wale
cc: https://www.jamiiforums.com/members/adriz.451928/Naachana rasmi na kufuatilia Ligi kuu , kuanzia Leo msiniTag popote kuhusu mechi za ligi kuu ya NBC
Mtaniii, nasubiri Bolt hapa ninaenda kurusha roho kwa uto m1 anayejifanya anajua sana shengesha, sasa nataka nimkamfunde, naona bado km msungo vile.Hivyo hapo waserebuka eeh. 🤣🤣
Karibu tena na tena tena mama la mama. Na baada ya mechi ukuje kuleee nikufute machoziOoh! Ahsante kwa Darasa Boss kubwa.
Hamna usifanye hivyo.Bora nifuatilie Sizoni za Kikorea tu , kuanzia nitakuwa nashinda Uzi Korean Drama mambo ya Sinema za NBC mwisho leo
Sukari inapanda hiyo, dialysis haifanyikagi usiku.Nasubiri Orlando Pirates na Berkane mwisho.wa jnajajanja tutaona hapo
Mtoto yake nepi na pempasi 😂🤣He....eebana e ! Nimeamini mtoto mdogo halali na hela..!
Ngoma ya Kitoto haikeshi...
Tuishukuru kivipi wakati ndio kazi yakeIshukuruni hiyo sijui VSnini nini huko. 😔
Bila hiyo msongetoboa.
😂😂 unampandia mpaka gari mbona ataenda kukukoma.Mtaniii, nasubiri Bolt hapa ninaenda kurusha roho kwa uto m1 anayejifanya anajua sana shengesha, sasa nataka nimkamfunde, naona bado km msungo vile.
😂😂😂😂
Yamekua hayo tena!🤪Hakika Swahiba.
Yaani magoli ya kutafutiwa kabisa haya. 😌
Daah! Yabidi mana hali si hali. 😜Karibu tena na tena tena mama la mama. Na baada ya mechi ukuje kuleee nikufute machozi
Muone.Ilikuwa naabika leo. Daaah