FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Vipi huko kumbe Kolo kachezea ?

Nishauri kwa mpira unavyoenda Kolo atafungwa nikun'gute ndala nikamalizie dkk zilizobaki ? maana nilijua Kolo atashinda ndio maana sijaenda kucheki
Furaha yako imegeuka kuwa malalamiko kwanini?
 
Leo natangaza rasmi kuacha kufuatilia Ligi ya bongo tukutane CAF .

SIMBA alianza kubebwa Kona mbili za Bure mpaka Penalty,. Maarass!!
Kwendaaaaa kabisaa na usiongelee huu mpira wa Tanzania maisha yako yote tuone
 
Ulinionya mapema sana , Namungo sio wa kuwaamini 😂
Mimi wameniuzi yaani nilikua na makasiriko nikasema mwisho wa mechi naanzisha ugomvi kwa atakayetucheka ona sasa wamesababisha mtu asitolewe ngeu Namungo ni mbung'o wa malale
Shabhaaaashhhh!!!!
 
Kwamba orlando na Berkane hatujawahi kukutana nao sisi 🤣🤣🤣🤣🤣
Akili huna unakariri maisha , wewe ngoja tu hiyo siku nakesha Jf , timu mbovu kwenye ligi mbovu mnapata matumaini ya uongo sasa siku za kukis hazipo mbali , marks my words
 
😂😂 Mtani naona leo ni Mudi na Mwamedi.
Mtani hizi timu zetu unaweza ukafa na presha bure, yaani mpaka half time 1-2 hali kwangu ilikuwa mbaya 😂😂😂

Nimekuja kudharau maamuzi ya refarii kutoa penalty ya mchongo nikadharau sana, nipo na ndugu zangu 🐸 🐸 🐸 tunamtukana refarii 😂😂😂

Ile haikua penati bhana leo Mgunda alikuja na gemu plan ambayo Barker haikufanyia mazoezi na tabu tumeipata aisee 😂😂😂
 
Akili huna unakariri maisha , wewe ngoja tu hiyo siku nakesha Jf , timu mbovu kwenye ligi mbovu mnapata matumaini ya uongo sasa siku za kukis hazipo mbali , marks my words
Shabhashhhh Malika Sherawat wewe
Marassss,mgerasi uliyepagawa na pepo mchafu toka na dua yako ya mwewe mla vifaranga hapa hao wachumba tutawakanda na Thimba tutatwaa ubingwa wa Afrika nipo pale nimeweka miguu kwenye beseni lenye maji nisisinzie
Maraaaaasss!
😅😅😅
 
Ulinionya mapema sana , Namungo sio wa kuwaamini 😂
Kwa kuwa kibanda umiza sio mbali hapo hakukuwa na namna.

Na kiukweli kabisa Kushikilia bomba Dakika 45 sio kitu cha mchezo eti.
 
Akili huna unakariri maisha , wewe ngoja tu hiyo siku nakesha Jf , timu mbovu kwenye ligi mbovu mnapata matumaini ya uongo sasa siku za kukis hazipo mbali , marks my words
Sasa how can i mark your words na akili sina ndugu zezeta?
 
Kaka komaa na Efootball tu sasa 😂
Ndo nipo room hapa kaka😃😃
Screenshot_20261102-134940.png
 
Back
Top Bottom