Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 5,057
- 24,631
Ourakafunga nan?
Utopolo wakalilie mbali, hatufugi vyura sie..Mbona πΈ πΈ πΈ
Makasiriko ya mapema hivi ?
Kama UTOPOLO NA SIMBA NA HAKUNA WA KUHIDHIBITI TIMU KUBWA MSIMU HUU.Kaka na Dada yake wanacheza kidalipo
Hawa moderators wa jukwani majority ni Yanga na nadhani hata Ile siku ya game ya Yanga Vs Simba walichelewa sana Ku update goli na Elii MpanzuMods weken matokeo KWENYE heading.
Hovyo kabisa , haya ndio mambo ya kulalamika mtu mzima ?Hawa moderators wa jukwani majority ni Yanga na nadhani hata Ile siku ya game ya Yanga Vs Simba walichelewa sana Ku update goli na Elii Mpanzu
Moderator Maxence Melo
Hivi Ses nikisema uniambie utofauti nitakuwa nakosea kwani?Ni Simba SC sio Simba FC mkuu
Hawa moderators wa jukwani majority ni Yanga na nadhani hata Ile siku ya game ya Yanga Vs Simba walichelewa sana Ku update goli na Elii Mpanzu
Moderator Maxence Melo
Lol.Hawa moderators wa jukwani majority ni Yanga na nadhani hata Ile siku ya game ya Yanga Vs Simba walichelewa sana Ku update goli na Elii Mpanzu
Moderator Maxence Melo
Eti. ππHovyo kabisa , haya ndio mambo ya kulalamika mtu mzima ?
πππππKaka na Dada yake wanacheza kidalipo
ππ Mtani naona leo ni Mudi na Mwamedi.Mbona πΈ πΈ πΈ
Makasiriko ya mapema hivi ?