Nimewachokoza makusudi nasubiri Makolo wanitukane maana tokea asubuhi sijapata watu wa kuwachokoza nimeona nije kwa Koloz π πEti. ππ
Usijali nimeelewa pia.Nimewachokoza makusudi nasubiri Makolo wanitukane maana tokea asubuhi sijapata watu wa kuwachokoza nimeona nije kwa Koloz π π
Hata kuandika neno "moderator" haujui vizuri unaandika kama umekunywa cheupe unatarajia mods waje humu ?Moderater wanakunywa cheupe kwanza
Au sioPipa na mfuniko
Hadi sasaKaka na Dada yake wanacheza kidalipo
Na sisi wengine tunanyonyesha. π Amalize tu mpira.Refa maliza mpira niwahi nyumbani, sijamuaga kaka ako......
Mnyama anakupa Rahaπ€ we ni me au ke?Hii Simba, tupewe Kombe letu tu...Hatuna mpinzani kwa kweli..
Mnyama ananipa raha mno,.....
Utopolo πΈπΈ kalilie mbali tafadhali