Hata nyie mtacheza nazo hizo timu za ligi daraja la tatu ligi ya mkoa bila shaka.Naona Bodi ya Ligi imewapangia vibonde kwenye mechi za awali ili mpate pointi kiulaini, na pia mzoeane!
Hawa ni ile Singida iliyotelekezwa usitegemee makubwa kwaoLeo acha nikacheki hii game banda umiza, nione makolo wanavyopokea kipigo kizito
Nyie mnaowaza maendeleo mbona hatuoni nchi ikiwa dona kwantriiiiiWatu wanawaza mpira 24Hrs
Predictions zangu
Ndiwoooo, na haturingi wala niniiii,Timu namba saba kwa ubora barani Africa inacheza leo, let’s go [emoji881][emoji881][emoji881]
Woyoooooo!!!!Tutashinda kwa nguvu