FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Kikosi chetu cha Mauaji?
Wataamua wenyewe kuzika ama kusafirisha.
 
KWA HIYO KOCHA AMEAMUA KUMUUA CHASAMBI KIWANGO? AU MIMI NDIO SIJUI MPIRA? CHASAMBI TOKEA LIGI IANZE HATA BENCHI HAKAI, NAKUMBUKA MWISHO WA MSIMU ULIOPITA BAADA YA KUBU DENIS KUDENGUA CHASAMBI ALIPATA NAFASI KWA MGUNDA ALIKIWASHA SANA, LAKINI CHA KUSHANGAZA TOKEA LIGI IANZE HATA BENCHI HAKAI, TOKEA SIMBA DAY MPAKA LEO SIDHANI KAMA AMEINGIA HATA UWANJANI, AU NDIO KIKOSI KIPANA?
 
Huyu kocha simwelewi ni Kama anapewa maelekezo ndio tatizo la makocha wa Bei rahisi akifukuzwa ndio anaanza kutoa danabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…