Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda singida black stars huyoLeo nimuone Guede akee..!☺️😍
Basi nachanganya fountain na SingidaAlienda singida black stars huyo
View: https://youtu.be/N27_RecUQnE?si=6GQRTo_7xLmR4xsj
Simba Mnyama hana mpinzani,
Mimi ni Simba nimemfata min -me akee☺️❤️🤍😍
Wote wamebadilisha hao hawaelewekiBasi nachanganya fountain na Singida
Iliyobadilishwa jina ni ipi
Huyu kocha simwelewi ni Kama anapewa maelekezo ndio tatizo la makocha wa Bei rahisi akifukuzwa ndio anaanza kutoa danabuKWA HIYO KOCHA AMEAMUA KUMUUA CHASAMBI KIWANGO? AU MIMI NDIO SIJUI MPIRA? CHASAMBI TOKEA LIGI IANZE HATA BENCHI HAKAI, NAKUMBUKA MWISHO WA MSIMU ULIOPITA BAADA YA KUBU DENIS KUDENGUA CHASAMBI ALIPATA NAFASI KWA MGUNDA ALIKIWASHA SANA, LAKINI CHA KUSHANGAZA TOKEA LIGI IANZE HATA BENCHI HAKAI, TOKEA SIMBA DAY MPAKA LEO SIDHANI KAMA AMEINGIA HATA UWANJANI, AU NDIO KIKOSI KIPANA?
Kama nyie mlivyopangiwa na CAF kuleNaona Bodi ya Ligi imewapangia vibonde kwenye mechi za awali ili mpate pointi kiulaini, na pia mzoeane!
Kikosi Cha Makolo Wala hakishituii🤣🤣
View: https://youtu.be/N27_RecUQnE?si=6GQRTo_7xLmR4xsj
Simba Mnyama hana mpinzani,
Mimi ni Simba nimemfata min -me akee☺️❤️🤍😍
View: https://youtu.be/N27_RecUQnE?si=6GQRTo_7xLmR4xsj
Simba Mnyama hana mpinzani,
Mimi ni Simba nimemfata min -me akee☺️❤️🤍😍
😁😂😁😁😁Baadae mumwambie aje anywe supu?
Min me huu mtego huu
amna banaChumaaaa ⚽️ Fountain gate 1