3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Utazisikia sana leo maana inacheza miongoni mwa klabu 10 bora Afrikanasikia kelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utazisikia sana leo maana inacheza miongoni mwa klabu 10 bora Afrikanasikia kelele
Huo ndio uchawi wa kisukununuKufungwa wafungwe Fountain ila Yanga ndio wanaumia
Hii imekaaje wakuu?
🤣🤣🤣Utazisikia sana leo maana inacheza miongoni mwa klabu 10 bora Afrika
Mkifikisha sita kama tunavyowafanyaga nahamia simba leoleoKufungwa wafungwe Fountain ila Yanga ndio wanaumia
Hii imekaaje wakuu?
NAKAZIAHuo ndio uchawi wa kisukununu
Hatukatai kuwa Yanga ingeweza kushinda kwasababu ya Quality, kwani ishafanya hivyo kule Nigeria ishafanya hivyo kule Tunis dhidi ya Club African.Hii hoja yako ni dhaifu sana. Kwani hp Zalan na Vital'o walilazimishwa kuchezea viwanja vyaTanzania? Mbona mwaka jana/juzi El Mereikh ya Sudan ilichagua kuchezea Rwanda, na bado walitolewa!!
Mzee ushinde 6 au 3 mwisho wa siku point ni zilezile 3 halafu sisi tulishajipigia 7 kwa hiyo 6 sio habari mpya kwetu kabisaMkifikisha sita kama tunavyowafanyaga nahamia simba leoleo
Mi nimechoka kushangilia banaMwite Debora akutie kizunguzungu
Unamaanisha bao 3Boski moja si lina pakti tatu
To yeye umeona 😹😹😹Aisee kisa kanyimwa PC bipolar hiii 😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 enewei hongereni Simba SC
Nimewahi kuja pm yako? Na pc si niliomba hadharani? Kuna shida gani kichwani kwako wewe? Kwanini huwi mwanaume? Hivi huoni wanaume wenzio wanavyobehave? Ubovu wangu upi huo,je umewahi onana nami ...achana na kulala nami Kama unavyojisifu.....kuonana nami tu ishawahi tokea? Na Kama ni utani nilionao jf wa kucheka na kila mtu ulikuwa ni kosa kwangu kutaniana nawe? Tangu lini jf imekuwa ni pahala pa kushindwa kufurahi na watu au kuongea changamoto mtu aliyonayo? Unashida gani wewe wakera kilamtu? Aisee...ajabu sanaImekuuma relax eti nataka PC basi kanunue uitibu hiyo bipolar kabla
Haija kubaipolar
Ukapandwa na mizuka
Ndio maana kolo wewe
Demu mbovu sana