FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Kibu anaendeleza mambo yake ya kupaisha kwenye nafasi ya kufunga alipokuwa na kina chama na saidoo.
 
Wanavyoendelea kupata ushindi wachezaji saikolojia yao inajengeka vizuri na kujiamini kunaongezeka.

Haijalishi utashinda vipi wewe pata ushindi huku ukiendelea kutengeneza timu vizuri kwa sababu mashabiki hawatokuwa na kelele sana hili nalo muhimu kwa wachezaji kutokuwa na pressure na kutekeleza majukumu yao
 
Huyu kibu anazidi kunipagawisha na kiwango chake

Nimepata furaha baada ya kuona kumbe kuna uwezekano wa mtu kuunyanyua mpira juu ya goli ndani ya eneo dogo kiasi kile

Kudos our best player
Ndo maana simba tulipambana sana abaki kwenye timu


Bladiful zake🙄
 
Back
Top Bottom