changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Wewe sikushangai hata ubingwa wa NBC ulijiapiza Yanga hachukuiKuna Watu wanaamini FA Utopolo wanabeba [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sikushangai hata ubingwa wa NBC ulijiapiza Yanga hachukuiKuna Watu wanaamini FA Utopolo wanabeba [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana hakukuwa na tigo pesa wala Nini!Asante na bahati mbaya Watu makini ( Werevu ) ndiyo tunachukiwa na kuonewa sana japo Mungu huwa anatubariki zaidi.
Wapi nimesema kuwa jana kulikuwa na hiyo Tigo Pesa yako hapa Mkuu?Jana hakukuwa na tigo pesa wala Nini!
Sawa,hujasema talented ,the only one!Wapi nimesema kuwa jana kulikuwa na hiyo Tigo Pesa yako hapa Mkuu?
Umeshanyoa kipara kwa ajili ya Gamondi Day? Mwenzako Mchome tayari ameshapiga dongo lake.Ngoja niangalie ni Mtandao gani mzuri kati ya Tigo Pesa au Airtel Money nimtumie Mtu Hela aninunulie Kuku huko Singida.
😄 🤣 😂 😆 😄Wapi nimesema kuwa jana kulikuwa na hiyo Tigo Pesa yako hapa Mkuu?
Hahaaaaa Mchome yupo uwanjani Dodoma leo akishangilia ubingwa. Jamaa kakataa shida na huzuni, katafuta furaha Jangwani.Umeshanyoa kipara kwa ajili ya Gamondi Day? Mwenzako Mchome tayari ameshapiga dongo lake.
Mchome ni Yanga tangu zamani na hajawahi kuwa Simba ila amekuja staili yake ya kuvaa jezi za Simba na kuwakejeli Simba,huyu hapaHahaaaaa Mchome yupo uwanjani Dodoma leo akishangilia ubingwa. Jamaa kakataa shida na huzuni, katafuta furaha Jangwani.
Asante mkuu, nakaziaNilishasema, Simba hatuna timu ya kutupeleka klabu bingwa, tulieni hivyo hivyo msijipe msongo wa mawazo wa bure.
pole sana uran na Greatest Of All Time