FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

Kwani mheshimiwa Mzee Genta unataka kuku atoke singida aletwe Dar apande ndege aje Kampala, au umesahau kama uko Kampala unaijiona uko kaww
 
Hahaaaaa Mchome yupo uwanjani Dodoma leo akishangilia ubingwa. Jamaa kakataa shida na huzuni, katafuta furaha Jangwani.
Mchome ni Yanga tangu zamani na hajawahi kuwa Simba ila amekuja staili yake ya kuvaa jezi za Simba na kuwakejeli Simba,huyu hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1711768413073.jpg
    76.5 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1702911726848.jpg
    64.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…