FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Kwahyo unaamini kwenye majini au
 

Kwa Mkapa sasa hivi kunatakiwa kuwe machinjio ya kila anayekuja, pawe panaogopeka kama Alexandria Misri...
 
Man U akicheza hivi Man City anakufa goli nyingi

Ten hang anatakiwa achague kati ya kuiangalia Simba ili asome mbinu au ajitie kiburi atufelishe mashabiki
Simba si ndio nasikia my wa Young African,Alikubali kukojolewa bao tena kwa uvumilivu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…