FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Hamna mkuu.
Kama ingekua hivyo basi tusingehangaika usajili tungehangaika kwa waganga daily.
Kama ulifuatilia mechi ya kwanza kati ya CRB na Yanga ungeona kuwa CRB tuliwazidi possession na kila kitu ila Metacha alitu cost wakatufunga tatu.
Hata game ya jana na Al ahly uliona kabisa Yanga inacheza na kuna magoli ya wazi imekosa on target Al ahly 10 Yanga 8 hizo 8 hazijaja kibahati mbaya.
Tukija kwa jirani kolozidadi alivyoenda kwa Wydad ile game kama angekua makini wydad alikua anakufa Morocco ila ndio hivyo dakika za mwisho moja bila.
KIUFUPI TIMU ZA TZ SASA HIVI ZINACHEZA NA KUONEKANA KABISA KUWA ZINACHEZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…